Tehama maana yake ni Technologia, Habari na Mawasiliano,Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika shule zote za msingi na Sekondari ni somo muhimu sana kwa karne hii ya sayansi na teknolojia.Nionavyo mimi utekelezaji wa mpango huu wapaswa kuwa na kasi yakutosha ili kuweza kukidhi mahitaji ya dunia ya sasa hasa kwa nchi yetu Tanzania na kwenda na wakati.
![]() |
| Mwl.Plim's |
Kwa walimu:-TEHAMA inarahisha shughuli za ufundishaji kwani mwalimu hutumia muda sahihi katika swala zima la ufundishaji
kwa wanafunzi:-Ufundishaji kwa kutumia tehama humjengea mwanafunzi udadisi katika kujifunza na pia umakini wakati wa kujifunza
![]() |
| Mwl.Masanja |
Shule ya Mazoezi Mwenge ni mojawapo ya shule za msingi zilizopo hapa Tabora zinazotumia mfumo wa kisasa(TEHAMA) Katika ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi kuanzia chekechea hadi darasa la saba
![]() |
| Mwl.Mateno |
![]() |
| Mwl.Mateno |
![]() |
| Wanafunzi wa darasa la sita |





No comments:
Post a Comment