Friday, 18 December 2020

Friday, 11 December 2020

SHEREHE MAALUMU YA WALIMU WA SHULE YA MSINGI MWENGE

 Shule ya Msingi Mwenge  tumefanya Sherehe maalumu ya kupongezana kwa matokeo Mazuri ya Darasa la Saba mwaka huu,hii ni baada ya Juhudi kubwa zilizofanywa na walimu wote na kupelekea  kuingia kwenye kumi bora kwa Manispaa ya Tabora.




By Camera Man

E.Jingu