Baada ya Matokeo ya darasa la Saba Mwaka 2021 kutangazwa Shule yetu imezidi kufanya vizuri zaidi kwani imeshika nafasi ya 7 katika Manispaa ya Tabora na Kimkoa imekuwa nafasi ya 12.Kutokana na juhudi kubwa waliyofanya walimu hakuna Mwanafunzi mwenye Wastani wa D na E,Wote wana wastani wa A,B&C.
SOMA ZAID:- Angalia hapa Matokeo ya Shule ya Mwenge.