Matokeo ya Uchaguzi wa Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza 2021 Shule za Sekondari za Serikali
UCHAGUZI WA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA TABORA
UCHAGUZI WA KIDATO CHA KWANZA MKOA WA TABORA
Shule ya Msingi Mwenge tumefanya Sherehe maalumu ya kupongezana kwa matokeo Mazuri ya Darasa la Saba mwaka huu,hii ni baada ya Juhudi kubwa zilizofanywa na walimu wote na kupelekea kuingia kwenye kumi bora kwa Manispaa ya Tabora.
By Camera Man
E.Jingu
Shule ya Mazoezi Mwenge imeeendelea kung'ara zaidi na kuingia kwenye Kumi Bora kiwilaya.
https://matokeo.necta.go.tz/psle2020/results/shl_ps1903021.htm