Friday, 27 March 2020

SHULE YA MZOEZI MWENGE YAPATIWA VIFAA VYA UKARABATI WA SHULE NA MH.MKUU WA WILAYA YA TABORA

Mh Mkuuu wa Wilaya ya Tabora Mjini,Mh. Kitwala aipatia shule yetu vifaa kwa ajili ya ukarabati na kuifanya kuwa katika Mwonekano mpya na wenye Kuvutia sana.




No comments:

Post a Comment