Thursday, 16 November 2017
Monday, 6 November 2017
KUJIFUNZA KWA KUTUMIA IMPRESS
Kwanini nijifunze kutumia Impress?
Impress ni njia maridhawa ya uwasilishaji mada inayowezesha utumiaji wa media mbalimbali. Mawasilisho ni njia inayotumiwa na walimu duniani kote katika kuwasilisha masomo kwa ufanisi na kwa ushirikishi. wanafunzi hufurahia matumizi ya tekinolojia na huonesha uelewa mkubwa pale mada inapowasilishwa katika njia tofauti na kuvutia. Impress inawapatia waalimu njia tofauti tofauti za kuwasilisha taarifa zao na kwa jinsi upatavyo ujuzi ndivyo uwezokano wa kuwa mjuzi zaidi pia
Uwasilisho wa Impress wa ni njia bora ya ufundishaji inayokuwezesha:

- kujumuisha picha na michoro
- kucheza video na rekodi
- kutumia majedwali na grafu
- kuunganisha maudhui yako na tovuti muhimu
- kuwashirikisha wanafunzi wako kwenye ujifunzaji
- kuitumia kwa urahisi
Friday, 20 October 2017
BREAKING NEWS
Katibu Mtendaji wa Baraza La Mtihan Tanzania Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo ya Darasa la Saba 2017.Matokeo hayo yanapatikana katika
www.necta.go.tz
www.necta.go.tz
Monday, 16 October 2017
MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014
Pata Matokeo ya Darasa la Saba 2014,Shule ya Msingi Mwenge..
http://necta.go.tz/psle2014/results/shl_p1903021.htm
Sunday, 15 October 2017
MATOKEO YA DARASA LA SABA 2015
Pata Matokeo ya Darasa la Saba 2015,Shule ya Msingi Mwenge..
http://necta.go.tz/matokeo/2015/psle/results/shl_p1903021.htm
http://necta.go.tz/matokeo/2015/psle/results/shl_p1903021.htm
MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016
Matokeo ya Darasa la Saba shule ya msingi Mwenge 2016
http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/results/shl_ps1903021.htm
Friday, 13 October 2017
UFUNDISHAJI KWA KUTUMIA TEHAMA ( ICT)
Tehama maana yake ni Technologia, Habari na Mawasiliano,Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika shule zote za msingi na Sekondari ni somo muhimu sana kwa karne hii ya sayansi na teknolojia.Nionavyo mimi utekelezaji wa mpango huu wapaswa kuwa na kasi yakutosha ili kuweza kukidhi mahitaji ya dunia ya sasa hasa kwa nchi yetu Tanzania na kwenda na wakati.
![]() |
| Mwl.Plim's |
Kwa walimu:-TEHAMA inarahisha shughuli za ufundishaji kwani mwalimu hutumia muda sahihi katika swala zima la ufundishaji
kwa wanafunzi:-Ufundishaji kwa kutumia tehama humjengea mwanafunzi udadisi katika kujifunza na pia umakini wakati wa kujifunza
![]() |
| Mwl.Masanja |
Shule ya Mazoezi Mwenge ni mojawapo ya shule za msingi zilizopo hapa Tabora zinazotumia mfumo wa kisasa(TEHAMA) Katika ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi kuanzia chekechea hadi darasa la saba
![]() |
| Mwl.Mateno |
![]() |
| Mwl.Mateno |
![]() |
| Wanafunzi wa darasa la sita |
Subscribe to:
Posts (Atom)