Shule ya Msingi Mwenge tumefanya Sherehe maalumu ya kupongezana kwa matokeo Mazuri ya Darasa la Saba mwaka huu,hii ni baada ya Juhudi kubwa zilizofanywa na walimu wote na kupelekea kuingia kwenye kumi bora kwa Manispaa ya Tabora.
By Camera Man
E.Jingu




No comments:
Post a Comment